- 164 viewsDuration: 2:32Mkuu wa Utumishi wa umma Felix Koskei amewaonya wanafunzi wa shule za upili nchini kwamba huenda wakauvuruga mustakabali wao kwa kujihusisha na vitendo vilivyo kinyume cha sheria. Koskei alisema wanafunzi watakaopatikana wakishiriki vitendo vya uhalifu kama vile kuteketeza shule, majina yao yatawekwa kwenye orodha maalum kisha wapate changamoto nyingi katika siku zijazo pindi wakianza kutafuta ajira au kujiendeleza kimasomo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive