5 Apr 2026 7:43 pm | Citizen TV 424 views Duration: 45s Afc leopards wameendeleza msururu wa matokeo bora kwenye ligi kuu nchini kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya murang’a seal katika mechi iliyochezwa uwanjani nyayo mchana wa leo.