Skip to main content
Skip to main content

Kugombea Urais Kenya $47.4M?

  • | BBC Swahili
    12,254 views
    Duration: 1:49
    Je, unajua kuwa mgombea urais nchini Kenya anaweza kutumia hadi dola milioni 47.4 kwenye kampeni za uchaguzi wa 2027? Hiyo ni sawa na karibu shilingi bilioni 6.11 za Kenya. Kiasi hicho kimewekwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, kama kikomo cha juu cha matumizi ya kampeni za urais.Lakini si lazima mgombea atumie fedha zote hizo. Ni kiwango cha juu anachoruhusiwa kutumia Lakini swali ni: Je, kikomo hiki kitaweka usawa zaidi katika ushindani wa kisiasa Kenya? Mwandishi wa BBC @mariammjahid na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #uchaguzimkuukenya #siasa #tumehuru Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw