- 53,942 viewsDuration: 1:25Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi kumeendelea kuzua mjadala miongoni mwa jamii huku wengi wakionesha kushtushwa na uamuzi huo. Nchimbi alitangaza Agosti 25, 2026, kuwa ameamua kustaafu siasa na utumishi wa umma, na kwamba atajiuzulu rasmi nafasi hiyo kuanzia Septemba 4, 2026. Je Watanzania wanazungumziaje hatua hii? 🎥: @frankmavura #bbcswahili #emmanuelnchimbi #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw