- 45,944 viewsDuration: 10:47Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu na kustaafu siasa, pamoja na utumishi wa umma, na Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia. Lakini hatua hii imanaanisha nini? Na je, hii itakuwa na athari zipi kwa mustakabali wa siasa za chama tawala CCM ndani ya Tanzania? #DiraYaDuniaTV