Skip to main content
Skip to main content

Kundi la Rastafari lapinga uharamishaji wa bangi, uamuzi kutolewa mwezi Mei

  • | KBC Video
    186 views
    Duration: 4:12
    Mahakama inayoshughulikia kesi za kikatiba Milimani itatoa uamuzi wake mnamo tarehe 27 mwezi huu kwenye kesi kuhusu ombi la kuhalalisha matumizi ya bangi humu nchini. Chama cha Rastafari humu nchini kiliwasilisha kesi mahakamani mnamo mwaka 2021, kikidai kwamba bangi ni sehemu muhimu ya imani yao ya kidini na kuiharamisha kunakiuka haki zao za kikatiba. Na jinsi ripota wetu Ruth Wambui anavyotuarifu, kioja kilishuhudiwa nje ya mahakama wakati mmoja wa wafuasi wa kundi hilo alipojaribu kuingia mahakamani akiwa na mbegu za bangi akidai zilifaa kutumika kama ushahidi kwenye kesi hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive