Skip to main content
Skip to main content

Kundi la wahuni laibuka Kisauni Mombasa, visa vya kuvamiwa na kuibiwa vyaripotiwa

  • | KBC Video
    497 views
    Duration: 4:28
    Wakazi wa Kisauni katika kaunti ya Mombasa wanaishi kwa hofu kufuatia kuzuka kwa visa vya kushambuliwa pamoja na ujambazi katika eneo hilo. Kwa mujibu wa Naila Abdallah ambaye ni mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu, wakazi kadhaa wamevamiwa na kuporwa katika siku za hivi majuzi, tukio la hivi karibuni likihusisha bodaboda mwenye umri wa miaka 24 aliyevamiwa na kuachwa na majeraha kadhaa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive