Kundi la 'Warembo na Kayole' lahimiza wanasiasa kuwasaidia wasiojiweza katika jamii

  • | KBC Video
    28 views

    Wawaniaji nyadhifa za kisiasa pamoja na wafuasi wao wametakiwa kutenga muda wao kushughulikia maslahi ya wasiojimudu katika jamii. Kundi moja linalojiita 'Warembo na Kayole” limesema Wakenya wanapasa kujua kwamba kuna wenzao kadhaa wanaohitaji usaidizi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News