GIZA TOTORO NYANDARUA
Biashara katika mji wa Murungaru, Kinangop, Kaunti ya Nyandarua zimelemazwa kufuatia kukatika kwa umeme kwa majuma matatu yaliyopita. Tatizo hilo, linalodaiwa kusababishwa na kuharibika kwa mtambo wa transfoma, limewaacha wakazi na wafanyabiashara gizani licha ya juhudi za maafisa wa kiufundi wa kampuni ya umeme, Kenya Power za kurekebisha hali hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive