Skip to main content
Skip to main content

Kuppet tawi la Murang'a yatishia kuandaa mgomo

  • | NTV Video
    99 views
    Duration: 1:33
    Walimu wa KUPPET tawi la Murang’a wameonya kuwa wataandaa mgomo iwapo serikali haitaboresha huduma za afya chini ya mpango wa SHA, wakidai kuwa kiasi cha shilingi elfu tatu kwa wagonjwa wa nje hakitoshelezi gharama za matibabu na kinawalazimu walimu kujilipia dawa na vipimo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya