Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini Azam inashindwa kutwaa taji?

  • | BBC Swahili
    2,532 views
    Duration: 10:02
    Azam FC imekuwa ikitajwa kuwa miongoni mwa timu zenye uwezo wa kuvunja utawala wa Simba na Yanga katika Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini kutwaa ubingwa bado imekuwa changamoto. Kwa nini Azam inashindwa kutwaa taji? Katika mahojiano maalum na BBC Swahili, mwandishi Omary Mkambara @loko_omi, amezungumza na kiungo mkongwe wa Azam FC, Himid Mao, anayefichua sababu za timu hiyo kushindwa kufikia malengo hayo. Himid pia amezungumzia suala la umri wake, nafasi yake ndani ya kikosi na mipango ya Azam FC kwa siku zijazo. Tazama mahojiano kamili kwenye YouTube ya BBC Swahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw