- 348 viewsDuration: 12:20Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaweza kujikuta wakitumia mahusiano kama njia ya kujipatia fedha, hali ambayo mwanaharakati wa vijana Luciana Massawe anasema inaweza kuwaweka katika mazingira yenye changamoto za kiafya, kiakili na kijamii. Luciana, ambaye ni mwanzilishi wa jukwaa la Uni Girls Power na taasisi ya Journey of Nurture and Care (JNC), anasema aliona changamoto hiyo alipokuwa chuoni na kuamua kuhamasisha mabinti kuhusu kujitambua na kutumia fursa wanazopata wakiwa vyuoni. #bbcswahili #waridiwabbc #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw