Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini maandamano ya Disemba 9 nchini Tanzania yalifeli? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    42,634 views
    Duration: 28:10
    Katika siku ambayo baadhi ya watanzania walitarajia kushuhudia hatua ya kihistoria ya maandamano ya amani ya Desemba 9, hali ilikuwa tofauti kwa siku nzima. Hakukuwa na misafara ya waandamanaji, mabango, wala makundi makubwa ya watu kupaza sauti zao. Ilikuwa tofauti na maandamano ya Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata. Kwa nini? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw