- 7,372 viewsDuration: 10:15Mvutano unaongezeka katika eneo la Aktiki — sehemu ya kaskazini kabisa ya dunia kwa sababu eneo hilo linaongezeka joto kwa kasi zaidi kuliko maeneo mengine yote duniani Barafu inavyoyeyuka, inaweza kufichua rasilimali muhimu kama mafuta, gesi, na madini, na hivyo mataifa mbalimbali yameanza kushindania umiliki wake. Mataifa hayo ni yapi? Tazama #bbcswahili #arctic #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw