- 12,550 viewsDuration: 2:15Wakati wa sikukuu na matukio ya baraka, watu wengi huchoma vijiti vya udi ili kutoa harufu nzuri na kuleta hali ya utulivu nyumbani. Hata hivyo, tafiti mbalimbali za kisayansi zinaonya kwamba moshi na harufu ya udi vinaweza kusababisha matatizo ya kiafya kwa watu wengi. Je ni matatizo yapi na Kwa nini udi unaochomwa majumbani ni hatari? @frankmavura anaelezea #bbcswahili #afya #udi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw