Skip to main content
Skip to main content

Kwaheri Mo Salah

  • | Citizen TV
    2,495 views
    Duration: 1:00
    Mshambulizi Mohamed Salah ataondoka Liverpool mwishoni mwa msimu huu akiwa miongoni mwa wachezaji bora kabisa kuwakilisha klabu hiyo na kung'ara katika ligi kuu ya Uingereza. Salah anayejulikana kama 'mfalme wa Misri',alijiunga na Liverpool kutoka AS Roma mnamo Juni 23, 2017 na amefunga mabao 255 katika mechi 435 akiwa na sare ya Liverpool. Anaondoka kama mmoja wa wachezaji bora katika historia ya Liverpool, akiisaidia klabu hiyo kunyakuwa mataji mawili ya ligi kuu, ligi ya mabingwa, kombe la dunia la vilabu, UEFA Super Cup, kombe la FA pamoja na ngao ya jamii.