Skip to main content
Skip to main content

Kwanini mkataba wa amani wa kongo 'umedunda'?

  • | BBC Swahili
    14,230 views
    Duration: 2:53
    Viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda na Marekani walisaini mkataba wa kumaliza vita Mashariki mwa Kongo tarehe 4 Desemba, halafu tarehe 6 Desemba mashambulizi mapya yakatokea eneo hilo hilo la Mashariki ya Kongo – kwanini mkataba ule umekosa maana yoyote ile? Huyu hapa Leila Mohammed @mrs.tadicha na tathmini ya kina. - - #bbcswahili #DRC #rwanda #M23 #trump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw