Skip to main content
Skip to main content

Kwanini Sammatta ametangaza kustaafu kuichezea Tanzania?

  • | BBC Swahili
    11,426 views
    Duration: 1:56
    Mbwana Ally Samatta, ameufunga rasmi ukurasa wake wa soka la kimataifa kwa kutangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Tanzania. Uamuzi huo unahitimisha safari ya zaidi ya muongo mmoja na nusu ya kulitumikia taifa, ambapo aliweka rekodi na kuiongoza Tanzania katika baadhi ya mafanikio makubwa zaidi ya soka la kisasa. Sasa anasema ni wakati wa kizazi kipya kuendeleza alipoishia. @loko.omi anaelezea zaidi #bbcswahili #tanzania #Mbwanasamatta Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw