Skip to main content
Skip to main content

Kwanini unatoa machozi wakati wa kulia?

  • | BBC Swahili
    6,662 views
    Duration: 1:44
    Binadamu ndio kiumbe pekee anayejulikana kutoa machozi kutokana na hisia lakini wanasayansi bado wanajaribu kuelewa kikamilifu sababu ya kwa nini hali hii hutokea. Laillah Mohammed analezea #bbcswahili #utafiti #viumbehai Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw