Skip to main content
Skip to main content

Kwanini wachezaji hawa wa kombe la dunia huvaa 'sidiria'

  • | BBC Swahili
    19,773 views
    Duration: 47s
    Je, umewaona wachezaji wako unaowapenda wakivaa vesti hizi nyeusi zinazofanana na 'sidiria'? Baadhi ya wachezaji katika Kombe la Dunia wamekuwa wakivaa vesti maalumu zenye teknolojia ya kisasa (smart vests), ambazo ni vifaa vinavyovaliwa mwilini na vinaweza kufuatilia mambo mbalimbali. Seif Abdallah anaelezea #bbcswahili #kombeladunia #smartvest Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw