- 12,250 viewsDuration: 1:40Afrika ina vyakula vya asili vyenye virutubisho vingi ambavyo vinaendelea kuvutia wataalamu wa lishe huku baadhi vikipewa jina la “superfoods. Mwandishi wa BBC @boshanyanje na taarifa zaidi: Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw