Kwaya ya watoto ya Moriasi yatoa msaada kuhusu tatizo la funza Nyamira

  • | Citizen TV
    205 views

    Familia kadhaa zenye watoto waliovamiwa na funza katika eneo bunge la Mugirango Magharibi kaunti ya Nyamira, zimepokea msaada wa matibabu na vyakula kutoka kwa kwaya ya watoto ya Moriasi.