Skip to main content
Skip to main content

'Kweli Ndejembi ni chaguo la Mungu'

  • | BBC Swahili
    34,896 views
    Duration: 24s
    Spika wa Bunge la Tanzania Mussa Zungu, amesema pendekezo la Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni chaguo la Mungu kwani hata baadhi ya wabunge wa upinzani wameunga mkono pendekezo hilo #bbcswahili #siasa #Ndejembi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw