14 Dec 2025 7:57 pm | Citizen TV 578 views Duration: 1:45 Timu ya Lazium FC ndio mabingwa wapya wa mchuano wa Rashid Abdallah super cup baada ya kuilaza Azzam united mabao mawili kwa moja kwenye fainali iliyochezwa uwanja wa kaunti ya Kwale.