- 68,176 viewsDuration: 1:23Jiji la Dar Es Salaam lipo kimya asubuhi hii, katika siku ambayo ni sikukuu ya Uhuru nchini Tanzania, na siku ambayo pia yamepangwa kufanyika maandamano ya kuipinga serikali. Serikali imepiga marufuku maandamano hayo ikiyaita ni batili na kuwarai raia wabaki nyumbani na watoke tu kama kuna ulazima. Mwandishi wetu @sammyawami ametuandalia taarifa hii kuonesha hali ilivyo jijini Dar Es Salaam. Hali ipoje mtaani kwako? Tueleze hapo chini. - - - #tanzania #vijana #bbcswahili #foryou #maandamano