- 865 viewsWanachama wa vuguvugu la Linda Mwananchi katika eneo bunge la Kanduyi, kaunti ya Bungoma, wameahidi kushirikiana katika juhudi za kuimarisha vuguvugu hilo na kufanikisha azma ya Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ya kuwa rais wa sita wa taifa hili.