- 147,014 viewsDuration: 2:09Mahakama Kuu imesema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini huku Lissu akisema atajitetea mwenyewe na kuwa shahidi wa kwanza. Ameomba pia mahakama iwaite mashahidi 11, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan, viongozi wa zamani wa serikali na usalama, pamoja na viongozi wa CHADEMA. Hata hivyo tayari kuna mapingamizi juu ya baadhi ya mshahidi hao kuitwa. Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka imesema mashahidi namba 1 hadi 7 wasiruhusiwe kuja kutoa ushahidi. Mwandishi wa BBC @frankmavura na maelezo zaidi. 🎥: @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #tanzania #tunduLissu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw