- 54,957 viewsDuration: 20sBaada ya uamuzi wa mahakama nchini Tanzania kusema kwamba Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu, Kesi hiyo ya uhaini inaedelea ambapo Lissu yupo tayari kuanza kujitetea Tundu Lissu, aliliambia jopo la majaji waliomkuta na kesi ya kujibu kuhusu tuhuma za uhaini kuwa atajitetea mwenyewe. #bbcswahili #tundulissu #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw