- 6,085 viewsDuration: 22sMaporomoko ya ardhi yasukuma lori la mafuta na kuwagonga watu nchini India Tukio hilo lilitokea baada ya rundo kubwa la mchanga na vifusi kutoka eneo la ujenzi wa handaki kuporomoka kufuatia mvua kubwa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, wafanyakazi wasiopungua watatu wamefariki dunia, huku wengine watano wakiripotiwa kupotea. #bbcswahili #haliyahewa #maporomokoyaardhi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw