- 12,798 viewsDuration: 1:44Matukio ya awali ya AFCON yamekuwa yakihusishwa na kumbukumbu zilizobaki milele. Iwe uwanjani au nje ya uwanja, mengi yamejadiliwa hata baada ya mashindano kukamilika. Lakini sasa, mtu mmoja amejihakikishia nafasi yake katika historia ya AFCON 2025 nchini Morocco bila kusema neno hata moja na alifahamika kama Lumumba. Lakini Lumumba ni nani? @njoroge.muigai anamuangazia mtu huyu - - #bbcswahili #foryou #DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 #Lumumba #afcon2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw