- 984 viewsDuration: 2:42Familia ya mkenya mmoja aliyeuwawa kwenye mapigano nchini urusi sasa inaililia serikali kuisaidia kurejesha mwili wake nchini. Familia hiyo inadai kuwa martin macharia mburu alikwenda urusi kufanya kazi ya udereva ila akajipata vitani. Wizara ya masuala ya kigeni nchini inasema haina habari zozote kuhusu kifo chake.