11 Dec 2025 7:51 pm | Citizen TV 1,464 views Duration: 1:51 Mahakama ya mombasa imeagiza maafisa saba wa zamani wa jeshi la wanamaji kusalia korokoroni kwa siku 10 ili kutoa nafasi ya uchunguzi kuhusu shehena ya mihadarati ya shilingi bilioni 8.2 iliyotoweka chini ya ulinzi wao