Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa DCI wafika shuleni kuanza uchunguzi baada ya wanafunzi wawili kuangukiwa na vifusi

  • | Citizen TV
    4,535 views
    Duration: 3:16
    Wazazi wa wanafunzi wawili waliofariki baada ya kuangukiwa na vifusi kutoka kwa jengo moja huko Kayole, wanaitaka serikali kuhakikisha watoto wao wamepata haki. Hii leo, makachero wa DCI walikita kambi katika shule hiyo ya Emmanuel New Life Learning Centre kuanzisha uchunguzi kuhusiana na yaliyojiri.