Maafisa wa kupambana na ufisadi katika mataifa ya Afrika Mashariki wakutana Nairobi

  • | Citizen TV
    145 views

    Mataifa ya afrika mashariki yako mbioni kuweka mikakati ya kuhakikisha kuwa pesa inayopatikana kupitia ufisadi katika mataifa hayo haiondolewi katika nchi hizo ili kuzuia ufisadi. kwenye kikao kilichowaleta pamoja maafisa wa kupambana na ufisadi ukanda wa afrika mashariki , wadau walijadili mbinu za kuhakikisha mali iliyopatikana kuptia ufisadi imetwaliwa pamoja na ulinzi wa wanaotoa habari kuhusu ufisadi.