15 Apr 2026 10:23 am | Citizen TV 2,031 views Duration: 1:26 Maafisa wa polisi wasiopungua elfu kumi eneo la kati wamepangiwa kushiriki vipindi vya ushauri wa kisaikolojia, baada ya utafiti kuibaini kuwa nusu ya maafisa wa polisi nchini wanakumbwa na msongo wa Mawazo