Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa Samburu watoweka kabla ya kueleza matumizi tata ya Sh68M kikao cha kamati ya seneti

  • | NTV Video
    609 views
    Duration: 1:26
    Kikao cha kamati ya seneti ya Uwekezaji ya Kaunti kiligeuka kuwa cha kushangaza baada ya maafisa waliotakiwa kueleza matumizi tata ya shilingi milioni 68 katika Kaunti ya Samburu kutoweka ghafla jijini Nairobi. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya