- 1,529 viewsDuration: 1:27Maafisa wa ujasusi kutoka Kisii wamemkamata mwakilishi wadi ya Nyamasibi Christopher Osaga kufuatia visa vya watu kadhaa kuripoti kwamba Osaga amekuwa akiwatapeli akiahidi kuwatafutia nafasi za kusafiri hadi Canada kubadilisha maisha yao.