18 Nov 2025 1:07 pm | Citizen TV 96 views Maafisa wa usalama kaunti ya Garissa wanamzuilia mwanamume aliyedaiwa kumbaka na kisha kumuua mpwawe katika kambi ya wakimbizi ya Hagadera