Maafisa watatu wahojiwa kwa ubadhirifu wa Shilingi bilioni 2.2

  • | Citizen TV
    378 views

    Huku maafisa wakuu wa chuo kikuu cha Moi wakiendelea kuhojiwa na tume ya kupambana na ufisadi (EACC) kuhusiana na kashfa ya shilingi bilioni 2.2, Naibu Chansela Isaac Kosgei anakabiliwa na kibarua cha kujibu maswali kuhusu usimamizi mbaya wa chuo hicho kando na tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.