Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wawili wa polisi wauawa katika shambulizi Isiolo

  • | Citizen TV
    6,685 views
    Duration: 2:28
    Watu watano wakiwemo maafisa wa polisi, wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa na washukiwa wa wizi wa mifugo katika eneo la Gotu, Isiolo Kaskazini. Kama anavyoripoti Franklin Wallah, waliouawa ni pamoja na maafisa wawili wa polisi kutoka Kitengo cha kukabiliana na Wizi wa Mifugo, afisa mmoja wa akiba na wakazii wawili.