Skip to main content
Skip to main content

Maafisa zaidi wa usalama wapelekwa Tseikuru baada ya watu 7 kuuawa na majangili

  • | KBC Video
    13,113 views
    Duration: 4:50
    Huduma ya taifa ya polisi imewatuma maafisa zaidi wa usalama katika eneo la Tseikuru, kaunti ya Kitui, baada ya watu saba kuuawa wakati majangili waliokuwa wamejihami walivamia kituo kimoja cha biashara eneo hilo. Akizungumza katika kituo cha polisi cha Kamari, naibu Inspekta Jenerali wa polisi Eliud Lagat aliyezuru eneo hilo, alisema kituo hicho cha muda kitegeuzwa na kuwa kituo kamili cha polisi. Pia aliwahakikishia wazazi usalama wa watoto wao, shule zinapoelekea kufunguliwa hapo kesho. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News