Maagizo mapya kwa wahusika wa mgodi wa Bumutiru Kaunti ya Busia

  • | West TV
    138 views
    Waziri wa usalama wa ndani Profesa Kithure Kindiki ameagiza serikali ya kaunti ya Busia, mamlaka ya mazingira nchini NEMA, usimamizi wa utawala katika eneo la magharibi na asasi za kiusalama katika eneo hili kuunda kamati maalum ya kutathmini hali ya usalama katika migodi ya Bumutiru na kutoa mapendekezo katika siku thelathini zijazo.