MAANDALIZI YA MAZISHI YA KATEKISTI
Marehemu alifariki pamoja na mkewe na wanao
Walihusika kwenye ajali ya barabarani Karai
Kijiji cha Nd’ungu katika eneo la Gatundu kaskazini , Kaunti ya Kiambu, bado kimegubikwa na majonzi kufuatia vifo vya kusikitisha vya katekisti, mke wake na watoto wao wawili wadogo waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani eneo la Karai, Naivasha mapema wiki hii.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive