Maandalizi ya Mazishi ya Marehemu Memusi Sankok

  • | KBC Video
    54 views

    Maandalizi ya mazishi ya marehemu Memusi Sankok, mwanawe mbunge maalum David ole Sankok, ambayo yalipangiwa kuandaliwa Jumanne yameahirishwa kwa muda usiojulikana. Mbunge wa Narok Mashariki Ken Aramat amesema kamati ya mazishi itaamua Jumatatu kuhusu siku mbadala ya mazishi hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #DavidSankok #MemusiSankok