Wakaazi wafunga barabara ya Namanga kulalamikia ajali

  • | Citizen TV
    2,098 views

    Shuguli za Uchukuzi kwenye baarabara kuu ya Namanga katika eneo la Korompoi kaunti ya Kajiado zilitatizika kwa zaidi ya saa sita baada ya wakazi kufunga barabara wakilalamikia kuongezeka kwa ajali za barabarani, ambapo mwanamke mmoja na mwanawe walifariki papo hapo baada ya kugongwa na lori