Gavana Abdulswamad afanya mabadiliko ya mawaziri

  • | Citizen TV
    96 views

    Gavana wa Mombasa Abdulswamad Sharif amefanya mabadiliko katika serikali yake. Waziri wa michezo, vijana na utamaduni kenneth ambani ametemwa huku waziri wa ardhi na mipango ya jiji mohammed Hussein Mohammed akiongezewa majukumu