Skip to main content
Skip to main content

Maandalizi ya msafara wa jipange na viusasa yakamilika

  • | Citizen TV
    282 views
    Duration: 7:11
    Maandalizi ya msafara wa Jipange na Viusasa yamekamilika huku kikosi cha watangazaji wa Inooro FM kikiwa tayari kutifua kivumbi mlimani, kuanzia kesho. Viusasa imeandaa msafara huu ili kukutana na mashabiki wa vipindi vyake mtandaoni na kuwazawadi kwa kuganda kwenye kiunzi cha vipindi kinachoongoza nchini. mshindi wa kwanza pia anatuzwa leo.