Skip to main content
Skip to main content

Maandalizi ya uchaguzi Magarini yakamilika, IEBC yahakikishia uchaguzi huru na wa haki

  • | Citizen TV
    269 views
    Duration: 2:45
    Tukielekea eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi, maandalizi yamekamilika huku tume ya uchaguzi ikiwahakikishia wakaazi uchaguzi huru na wa haki hapo kesho. Kamishna wa IEBC alutalala mukhwana akitoa hakikisho kuwa kila kitu ki tayari baada ya vifaa vya kupigia kura kusafirishwa hadi vituo vyote 193 vya uchaguzi. Uchaguzi huu umewavutimia wagombea kumi