14 Jul 2026 10:21 am | Citizen TV 539 views Duration: 2:12 Maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika katika mbuga ya Amboseli Kaunti ya Kajiado ya kupinga kusimamishwa kwa mchakato wa uhamisho, yasitishwa baada ya rais William Ruto kuingilia kati na kutaka mazungumzo yafanyike.