Skip to main content
Skip to main content

Maandamano machache yaripotiwa mwanza huku ulinzi ukiongezwa nchini

  • | Citizen TV
    38,076 views
    Duration: 2:41
    Visa vichache vya maandamano vimeripotiwa leo mjini Mwanza Tanzania, huku maafisa wa usalama wakishika doria nchini humo kudhibiti maandamano yaliyokuwa yamepangwa. Wanajeshi waliwekwa kwenye miji mikuu ya Dar Es Salam na Dodoma kuzuia maandamano hayo huku raia wengi wakisalia majumbani baada ya serikali kuyaharamisha